Kiuradhi
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Kiuradhi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wauradhi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiuradhi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuradhi kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiuradhi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiuradhi
- lugha ya Kiuradhi katika Glottolog
- lugha ya Kiuradhi katika Ethnologue
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiuradhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |